Mzigo-TV-728x90

Masomo ya misa

Comment on Masomo ya Misa Aprili 18 by Henry Budodi Magwisha

By

on

TYK.
Picha zinazo mwonesha Philipo na towashi zimekuwa nyingi sana (3). Na ile picha ya kwanza inayoonesha kitabu cha hadithi ya towashi na Philipo haifanani na zile mbili wakati hawa watu wawili wamesimuliwa kukutana mara moja tu kwenye Biblia. Basi mchoraji wa picha mbili za kusoma Biblia na kubatizwa angenakili sura iliyoko kwenye kitabu ili mahusiano yasionekane ni ya kusadikika na kumbe ni kweli. La sivyo sura ya kitabu isingeoneshwa na badala yake ingewekwa link ya kwenda kwenye kitabu chenyewe kwa mtu anayehitaji kukisoma.

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2023, 2022 Download Audio, Video, Mp3, Mp3 African music, Tanzania Music, Naijamusic, naijavibe, Bekaboy, Djmwanga, Tanzania songs, Kenya songs, Uganda songs, Rwanda songs, Congo songs, Zanzibar, Singeli, Taarabu, Reggae, Amapiano, Nyimbo za dini, Gospel songs, Diamond platnumz, jux, Rayvanny, Harmonize, Nandy, Zuchu, Wasafi, Alikiba Teading songs, Top 100 songs youtube, Nigeria, Naija songs.

Recommended for you