Pakua Nakupenda Slow Love Mix Inayomshirikisha Jay Melody
Wiki mpya inaanza na mdundo wa kimapenzi. Humu kuna nyimbo zinazoelezea hisia halisi za mapenzi. Hivyo kama umeshinwa kujieleza kwa unayempenda tumia mix hii!
Furahia mix mpya ya kuvutia ambayo inamshirikisha Jay Melody
Ipate burudani ya βNakupenda Slow Love Mixβ hapa: https://mdundo.com/song/2112455
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog



