๐ฅ**Bifu yazidi kupamba moto kwenye game ya Bongo Fleva!**๐ฅ
Msanii Black queen amerudi kivingine na ngoma mpya ya diss track iliyoelekezwa moja kwa moja kwa rapa ROSA REE. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, aliandika:
โDiss hii nai dedicate Direct kwa ROSA REE. Kama ananiweza anijibu ๐
Am the Goddess of This Generation ๐คโ
Wimbo huu unatajwa kuwa jibu kali kwa ngoma ya โMjomba Zuberiโ kutoka kwa Rosa Ree, ambayo iliwasha moto wa bifu kati ya hawa marapa wawili wakali wa kike kwenye gemu la hip hop ya Bongo.
Mashairi makali, mistari ya kejeli, na kujiamini kupindukiaโngoma hii ni zaidi ya muziki, ni vita ya maneno kwenye beat! ๐ถ
๐Sikiliza au download hapa chini na tuambie nani anakamata mic kwa sasa:
Download | Black queen โ Mjomba Zuberi (Rosa Ree Diss) [Mp3 Audio]
ย
Mjomba Zuberi By Rosa Ree LINK




