Love-Stories

Nyimbo Mpya

Bandari ya Dar kubinafsishwa, TPA yatoa ufafanuzi

By

on

Bandari ya Dar kubinafsishwa, TPA yatoa ufafanuzi

Wakati mjadala kuhusu Azimio la Serikali ya Tanzania kuingia makubaliano na Serikali ya Dubai kwa ajili ya uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam ukipamba moto, Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imekanusha baadhi ya mambo na kuwataka Watanzania kutosikiliza kile inachoita upotoshaji.

Ufafanuzi wa TPA umekuja ikiwa imepita siku moja tangu Kamati ya Bunge ya Miundombinu na uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ikipokea maoni ya wadau bungeni jijini Dodoma.

Taarifa iliyotolewa na TPA jana Juni 6, imesema madai kuwa Serikali ina mpango wa kuipa kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai kandarasi ya kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 100 siyo za kweli.

Download Nyimbo Mpya Kila siku, Audio Video kutoka Tanzania Kenya Uganda South Africa na Nigeria. Kutoka kwa wasanii wote wakubwa kama Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Jux, Nandy, Mbosso, Billnass, Jay Melody, Zuchu, Marioo, Lava lava, Kusah, Yammi, Aslay, Whozu, Kontawa, Phina, Barnaba, Jaivah, Nay wa Mitego, Tommy Flavour, Macvoice, Ibraah, Platform tz, Lony Bway, Maua sama, Dayoo, ,Mocco Genius, Best Naso, B2K Mnyama, Tunda Man, Kayumba, Profesa Jay, Ruby, Mzee wa Bwax, Beka Flavour, Baddest 47, Xouh, Anjella, Rammy Music, Country Wizzy, Ommy Dimpoz, Juma Nature, Navy Kenzo, Sam Mapesa, Isha Mashauzi, Barakah the prince, Vanessa Mdee, Hammer Q, Vanillah, Nedy Music, Rich Mavoko, Songa, Madee, Ben Pol, Gigy Money, Twalbzzy, Sheta, Dogo Elisha, Linex, Kassim Mganga, Bright, Mzee yusuph, Abdu kiba, Sholo Mwamba, Haitham Kim, Hamadai, Jay Moe, Chege, Matonya, Amber lulu, Mr Blue, Belle 9, WEUSI, Q Chief, Timbulo, Lulu diva, Cheed, Shilole, Baba levo, Foby, Zee Cute, Wakazi, Lukamba, Burna Boy, Omah Lay, Otile Brown, Fally Ipupa, Joeboy, Abigail Chams, Nyashinski, Sauti sol, Oxlade, DJ Neptune,

Azimio la Bunge linalohusu mkataba ambao Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaingia a Serikali ya Dubai wenye ukomo wa miezi 12 kwa ajili ya kutoa nafasi ambayo Serikali hizo mbili mbili zinaweza kushirikiana katika uboreshaji wa sekta ya bandari nchini Tanzania,” imesema taarifa hiyo.

TPA imefafanua kuwa ushirikiano wa nchi hizo mbili unalenga la kukuza ajira za Watanzania na kufungua fursa za kiuchumi na kijamii kupitia uwekezaji kwenye baadhi ya maeneo ya bandari ya Dar es salaam, maeneo huru ya kiuchumi na viwanda na mnyororo wa usafirishaji kwenda nchi jirani.

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2023, 2022 Download Audio, Video, Mp3, Mp3 African music, Tanzania Music, Naijamusic, naijavibe, Bekaboy, Djmwanga, Tanzania songs, Kenya songs, Uganda songs, Rwanda songs, Congo songs, Zanzibar, Singeli, Taarabu, Reggae, Amapiano, Nyimbo za dini, Gospel songs, Diamond platnumz, jux, Rayvanny, Harmonize, Nandy, Zuchu, Wasafi, Alikiba Teading songs, Top 100 songs youtube, Nigeria, Naija songs.

Recommended for you