AUDIO | Maua Sama – Keep Quiet | Download Mp3
- Nyimbo mpya za Diamond Platnumz
- Nyimbo Mpya za Harmonize
- Nyimbo Mpya za Alikiba
- Nyimbo Mpya za Zuchu
- Nyimbo Mpya za Rayvanny
- Nyimbo Mpya za Jux
- Nyimbo Mpya za Mbosso
- Nyimbo Mpya za Lavalava
- Nyimbo Mpya za Gospel
Nyimbo Mpya 2023, 2022 Audio Download free Mp3 Video Mp4 Songs Tanzania Music from number one free music download website in Tanzania.
Lyrics
Maua Sama
Keep Quiet
Hizi simu za asubuhi basi atakuwa Babe
Ama ndo Danga jipya fupi lenye matege
Eti siku hizi najishauwa, ebu punguzeni ngebe
Wakipanga kunishusha basI Yesu nibebe
Aah nimehama Mbagala shogayangu nipo Sinza Madukani
Nakaribia kwenda Uturuki mi si nitarudi mwakani
Zile Picha zangu mlosema za utupu si zimenipa Professor
Amenipa Gari naendesha ona ninavyowatesa
Basi Shhhhiiii keep Quiet
Hayo ndoo maisha yangu
Si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
Basi Shhhhiiii keep quiet
Haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga basi nyinyi sio level zangu
Zombie
Ohooo oohoooo Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo
Choocha choocha wanakuchocha
Ujanja wangu me sishindani na wakimboka
Level zetu hazifanani unajichosha
Unataka ushindane na nani ndo nakupasha
Aah nimehama Mbagala shogayangu nipo Sinza Madukani
Nakaribia kwenda Uturuki mi si nitarudi mwakani
Zile Picha zangu mlosema za utupu si zimenipa Professor
Amenipa Gari naendesha ona ninavyowatesaa
Basi Shhhhiiii keep Quiet
Hayo ndoo maisha yangu
Si mnasema nadanga, basi nyie sio level zangu
Basi Shhhhiiii keep quiet
Haya ndo maisha yangu
Si mnasema nadanga basi nyinyi sio level zangu
Zombie
Ohooo oohoooo Ohooo oohoooo
Ohooo oohoooo
Mumy usijali, mumy usijali, mumy usijaliiiii