π₯**Bifu yazidi kupamba moto kwenye game ya Bongo Fleva!**π₯
Msanii Black queen amerudi kivingine na ngoma mpya ya diss track iliyoelekezwa moja kwa moja kwa rapa ROSA REE. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, aliandika:
βDiss hii nai dedicate Direct kwa ROSA REE. Kama ananiweza anijibu π
Am the Goddess of This Generation π€β
Wimbo huu unatajwa kuwa jibu kali kwa ngoma ya βMjomba Zuberiβ kutoka kwa Rosa Ree, ambayo iliwasha moto wa bifu kati ya hawa marapa wawili wakali wa kike kwenye gemu la hip hop ya Bongo.
Mashairi makali, mistari ya kejeli, na kujiamini kupindukiaβngoma hii ni zaidi ya muziki, ni vita ya maneno kwenye beat! πΆ
- Nyimbo mpya za Diamond Platnumz
- Nyimbo Mpya za Harmonize
- Nyimbo Mpya za Alikiba
- Nyimbo Mpya za Zuchu
- Nyimbo Mpya za Rayvanny
- Nyimbo Mpya za Jux
- Nyimbo Mpya za Mbosso
- Nyimbo Mpya za Lavalava
- Nyimbo Mpya za Gospel
Nyimbo Mpya 2023, 2022 Audio Download free Mp3 Video Mp4 Songs Tanzania Music from number one free music download website in Tanzania.
πSikiliza au download hapa chini na tuambie nani anakamata mic kwa sasa:
Download | Black queen β Mjomba Zuberi (Rosa Ree Diss) [Mp3 Audio]
Β
Mjomba Zuberi By Rosa Ree LINK