Motra the Future – My Crown ni diss track mpya inayolenga wasanii wa East Africa. Katika huu wimbo, Motra anashambulia wapinzani wake kwa mistari mikali akidai kuwa yeye ndiye mfalme wa kweli wa muziki huu. Sikiliza “My Crown” ujue kwa nini wanasema Motra amewasha moto kwenye game ya Hip Hop Afrika Mashariki.
Download | Motra the Future – My Crown ( East Africa Diss ) [Mp3 Audio]




