MZIGO-TOP

OFA: KUTANGAZA NASI BURE

Baada ya Kilio cha muda mrefu kutoka kwa wasanii wadogo wadogo kuomba kutangaza nyimbo zao bure kutokana na ugumu wa maisha na ukizingatia ndio wanaanza kukuza vipaji vyao.

Mzigotv inakuwa blog ya kwanza kubwa kutoa Ofa ya kutangaza kazi za wasanii bure kabisa. Unachotakiwa kufanya ni

  1. Tuma nyimbo yako Audio na Cover ya Nyimbo hiyo na namba yako ya simu y WhatsApp ikiwezekana  kwenye Email: [email protected]

  2. Kama ni video tutumie link ya video ukiambatanisha na jina lako kwenye Email [email protected]

    Kumbuka: Usipotuma Cover Audio Yako haitawekwa, pia usipotuma namba ya simu tutakujulisha kwa email

  3. Tafadhali zingatia maelekezo haya yaiyoandikwa hapa ili uitumie fursa hii adimu

  4. UKIONA UJUMBE HUU MJULISHE MSANII UNAYEMFAHAMU MAPEMA KWANI OFA HII NI YA MUDA MFUPI

WhatsApp
Open