MZIGO-TOP

MUSIC PROMOTION

FOR ENGLISH PRESS HERE:

ZIJUE FAIDA ZA KUWEKA WIMBO WAKO MZIGOTV.COM

(i) Mtembeleaji wa site yetu ataweza Kudownload Wimbo wako kwa urahisi Zaidi kwa Kubofya Mara Moja tu. Download Zetu hazina Mlolongo Mrefu Kama Wengine.

(ii) MZIGOTV inaingiza watu 1,000,000 + nakuendelea kwa Mwezi Mmoja.. Hivyo basi wimbo wako utaonekana kwa Watembeleaji wengi na Utakaa MZIGOTV.COM Kwa Muda Mrefu Zaidi pindi website yetu itakapoendelea kuwa Hewani.

(iii) MZIGOTV ina sehemu ya Kushare/Kusambazia Muziki wako kama Facebook , Twitter na WhatsApp ( Magroup zaidi ya 300) na  Mitandao mingine ya kijamii ambayo unaweza kutumia kwa Kuwasambazia Marafiki Zako.

(iv) Wimbo wako utaonekana Pia Kwenye Mitandao yote ya Kutafutia Vitu Mbalimbali kama Google , Bing, Ask , Yahoo na Mitandao mingine inayotumika Katika Utafutaji Vitu Mtandaoni.

(V) Pia Wimbo wako Utaonekana Katika Ukurasa Wetu wa Facebook ambao Una  watu wengi Zaidi

TUNAJUA UNAPENDA KUTANGAZA NASI HIVYO BASI FUATA MAELEZO YAFUATAYO.

1: Tuma Wimbo ukiambatanisha Picha (Cover photo) ya Msanii Kupitia Njia Zifuatazo;

(i) Email: [email protected]

(ii)WhatsApp namba: 0767 974 777

ZINGATIA: Kama huna Cover Photo yaani Picha ya Msanii Piga 0767974777 / 0713201292.

2: Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh. 10000/= (Elfu kumi  tu) kwa Audio moja. Na kama ni Audio + Video utalipia Tsh. 15000/= (Elfu Kumi na Tano tu) na Kwa Video Peke yake ni Tsh. 10000/= (Elfu Kumi tu)

3: Njia Za Malipo:

(i) M-PESA: 0767 974 777 (Frank Egidius Fulugence, Jina la Akaunti.) AU  TIGOPESA: 0713 201 292 ( Frank Egidius Fulugence, Jina la Akaunti)

(ii) Kama upo Nje ya Tanzania Tafadhali Lipia Kupitia WESTERN UNION.

Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Piga simu au Tutumie Ujumbe Mfupi Kupitia ) +255713 201 292 Email: [email protected]

WIMBO WAKO UTAKUWA TAYARI KWENYE WEBSITE YETU NDANI YA MASAA 24.

    (Timiza Ndoto ya Kuwa Star na mzigotv.com)

WhatsApp
Open