e8w-Xu-EChv9

Audio

Mshindi wa Shindano la Mdundo.com DJ Battle Kutuzwa Shilingi Milioni 7 za Tz

on

Smart-Four
Smart-Four

Mshindi wa Shindano la Mdundo.com DJ Battle Kutuzwa Shilingi Milioni 7 za Tz 2021 Mdundo.com DJ Battle inatazamiwa kuanza nchini Tanzania siku ya Ijumaa, tarehe 19 Novemba, 2021. Shindano hilo litakalodumu kwa wiki 4, litamshuhudia DJ mmoja akitawazwa ‘King of The Turntable.’Mshindi atakabidhiwa mkataba wa udhamini wenye thamani ya Tsh 7,000,000. Mixtape ya atakeyeshinda itapata kuchezwa kwenye redio na pia kwenye hafla kubwa ya muziki.

Ni Nani Anayestahiki?
Shindano liko wazi kwa DJs wote. Aina yoyote ya muziki inaweza kuingia kwenye shindano, iwe ni Afropop, Hausa, Amapiano, Hiphop, Gospel…e.t.c

Jinsi ya Kutuma Maombi?
Tembelea mdundodjbattle.com ili kujiandikisha na kuanza kupakia mchanganyiko.

About Mr. Frank

Mr Frank is the Founder and CEO of Mzigotv Media Group. He is a Professional blogger, Wordpress designer, Developer and Innovator on digital ideas around the world. He is skilled for more than ten years. Vision of mzigotv.com is to connect Music industry and fans in the same room easily.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *