Audio

AUDIO | Mbosso – Tena | Download

By

on

Baada ya mafanikio ya nyimbo zake mbili za kwanza, “Pawa” na “Nusu Saa”, msanii mwenye sauti tamu na uandishi wa kipekee, Mbooso, anarudi na ngoma ya tatu kutoka kwenye EP yake mpya ya nyimbo 7, chini ya lebo ya KhanMusic.

Ngoma hii mpya inaitwa “Tena”, na imebeba maumivu, msimamo, na uamuzi mgumu wa mapenzi. Kwa ladha tamu ya Afro-Pop, Mbooso anaimba kwa hisia halisi jinsi alivyopitia mateso katika uhusiano wa zamani, na sasa anaamua kutokurudia tena.

“Jasho lilinitoka jamani,
Yani hata kwenye AC,
Yule niliwaambia shemeji yenu alinipandisha BP…”

Mistari ya kuumiza moyo lakini pia ya kuleta tabasamu kutokana na uhalisia wake. Na anasisitiza:

“Kwake mimi kurudi tena, hilo haliwezekani,
Mimi kumpenda tena – si bora tu nifuge nyani…”

Rhumba ya Uchungu, Sauti ya Ukweli

Nyimbo Mpya 2023, 2022 Audio Download free Mp3 Video Mp4 Songs Tanzania Music from number one free music download website in Tanzania.

“Tena” ni wimbo wa ukweli kwa wale waliowahi kupitia mapenzi ya mateso. Midundo ya Rhumba ni tulivu lakini yenye kupenya, ikiambatana na mashairi ya kina ambayo yanazidi kuthibitisha kuwa Mbooso ni msanii aliyepevuka kihisia na kiubunifu.

Download “Tena” – Mbooso (MP3)

📥 Bofya hapa kudownload wimbo “Tena” :

Download | Mbosso – Tena [Mp3 Audio]

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2025 2024 2023 2022 Download Audio, Video, Mp3, Mp3 African music, Tanzania Music, Naijamusic, naijavibe, Bekaboy, Djmwanga, Tanzania songs, Kenya songs, Uganda songs, Rwanda songs, Congo songs, Zanzibar, Singeli, Taarabu, Reggae, Amapiano, Nyimbo za dini, Gospel songs, Diamond platnumz, jux, Rayvanny, Harmonize, Nandy, Zuchu, Wasafi, Alikiba Teading songs, Top 100 songs youtube, Nigeria, Naija songs.

Recommended for you