Habari

Wimbo wa Mama Amina wa Marioo Upewe Heshima yake…Ulifungua Macho Wasanii Wengi

By

on

 

Mama Amina Ya Marioo Ilitoka Mwaka 2020 mpaka sasa video Ina Views Million 11(YouTube)

Wimbo huu Baada ya Ku-trend ndio Watanzania wengine wakaona AMAPIANO ni fursa hivyo Wakaanza kupita kwenye Midundo ya Amapiano. Mpaka Mkojani aliimba AMAPIANO.

Mbali na Mama Amina kuwa na Content ambayo haifai katika Jamii lakini wimbo huo Upewe heshima yake Maana ulifumbua Macho Watanzania wengi na wao wakaanza Kuimba AMAPIANO, Wengi wao wamefaidika na Muziki huo Maana ndio Habari kubwa kwa sasa Barani Afrika.

Hongera sana Marioo.

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you