Habari

VIDEO: Mfalme Zumaradi Amewahi Kwenda Mbinguni na Kushuhudia Yaliyopo Mbuguni Kisha Kurudi Duniani

By

on

Hivi karibuni Millard Ayo amefanya Exclusive Interview na Mfalme Zumaridi. Katika Interview nzima kipande ambacho kimesambaa sana Mitandaoni ni hiki ambacho Mfalme huyo anaeleza kwamba amewahi kwenda mbinguni, tena sio Mara moja.

Ikumbukwe kwamba sintofahamu kama hii iliibuka pia Baada ya Mchungaji Geor Davie Kusema kwamba Mwaka 2003 alitokewa na Yesu Mwenyewe Kabisa.

Kiufupi ni kwamba Zumaridi amewahi kwenda Mbinguni, Geor Davie amewahi kumuona Yesu.  

TAZAMA VIDEO HAPA:

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you