Habari

Tessy “Fred Vunja Bei Alinipa Kianzio cha Millioni Moja Baada ya Kuvunjiwa Ofisi”

By

on

Enjoy Free Music, Audio, Video, Tanzania Music, Kenya, Uganda, Rwanda, Ghana, Nigeria here at Number One Music Platform in Tanzania

 

Tessy "Fred Vunja Bei Alinipa Kianzio cha Millioni Moja Baada ya Kuvunjiwa Ofisi"

Mrembo Tessy Chocolate amefunguka kuwa baada ya kuvunjiwa ofisi yake na watu wasiojulikana mfanyabiashara Fred Vunja Bei alimpa kianzio cha kiasi cha Milioni 1 na kumpa ushauri juu ya utafutaji.

Akiwa kwenye kipindi cha ICU, Tessy amesema kuwa baada ya tukio hilo alipata idea ya kutengeneza bidhaa zake za Momo na mtu wa kwanza kumuomba kianzio ni Fred Vunja Bei.

“Baada ya tukio lile nilipata idea ya kutengeneza bidhaa za Momo ambapo mtaji wake sio mkubwa sana nilianza kutengezea kwenye mabeseni nikaenda kwa Fred Vunja Bei nikamuelezea kila kitu nikamuomba aniazime milioni moja akanipa na siku nilivyotaka kumrudishia akaikataa,” alisema Fred

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you