Habari

Simba Bob Junior Alipewa Taarifa ya Kuvamiwa

By

on

Enjoy Free Music, Audio, Video, Tanzania Music, Kenya, Uganda, Rwanda, Ghana, Nigeria here at Number One Music Platform in Tanzania

Siku ya Mwisho ya Bob Junior alionekana na Mwendo wa haraka akielekea kwenye mipaka ya himaya yake (Namir), hii inaashiria kwamba alipata taarifa za uvamizi wa Simba Dume wengine ambao wamejulikana ni Seven Brothers hivyo alikua akiwahi ili kuzuia uvamizi huo ambapo aliwakuta Simba dume watatu kati ya wale Saba na walifanikiwa kumuua

Simba hupeana taarifa kwa mingurumo yao hivyo ikitokea Simba Dume anataka kupambania himaya ya Simba mwingine hutoa taarifa kwa mngurumo wakuashiria anaitaka hiyo himaya hivyo mwenye himaya hana budi kupigania himaya yake ama akizidiwa hukimbia na wengine huuawa kama ilivyotokea kwa Bob Junior
Pia Simba hugundua kua eneo lina mmiliki na ni himaya ya Simba mwingine kwa mwenye himaya huweka taarifa kwenye mipaka yake hivyo Simba mwingine hugundua. Taarifa huwekwa kwa kutumia haja ndogo ambapo Simba mwingine kwa kunusa hutambua eneo hili linammiliki na ni wamakamo gani kama ni mzee ama kijana.
Hivyo kwa Taarifa hizo ikitokea Simba Dume tofauti na mmiliki ama wamiliki kutamani eneo hilo itabidi atoe taarifa ya kulipambania na mshindi analimiliki
Kilichotokea kwa Bob Junior alipata taarifa hizo na kuwahi mipakani akawakuta kaka watatu wakimsubiri na wakafanikiwa kumuua
Wasafi Media Tupo Hifadhi ya Serengeti kukupa taarifa zote kuhusu kuangushwa kwa Bob Junior

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you