
Ni wazi kuwa kuna wakati unataka kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako ya Android, hii ni muhimu zaidi kwa watu wazima ambao pengine kwa namna moja ama nyingine wamepoteza uwezo wa kuona vizuri. Kupitia njia hii nitakuonyesha njia rahisi ya kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako nzima ya Android. Hii itafanya maandishi kwenye […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech