Habari

Mwanamuziki Angella Achora Tattoo ya Harmonize Katika Mwili Wake

By

on

Enjoy Free Music, Audio, Video, Tanzania Music, Kenya, Uganda, Rwanda, Ghana, Nigeria here at Number One Music Platform in Tanzania

Mwanadada mwanamuziki @anjella_tz ameamua kuonyesha mapenzi ya dhati aliyonayo kwa ‘boss’ wake wa zamani @harmonize_tz kwa kumchora ‘tattoo’ katika mwili wake.

Anjella amefikia uamuzi huo kama alama ya shukrani kwa kile ambacho Harmonize alikifanya katika maisha yake kwa kumtambulisha kwenye kiwanda cha muziki.

Kupitia Insta-story yake Anjella ameweka chapisho la video inayomuonyesha akiwa anachora ‘tattoo’ hiyo.

Una maoni gani kuhusu hili?

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you