Habari

Mkaliwenu Amkingia kifua Zumaridi ” Msimuhukumu”

By

on

“Swala la IMANI ni swala gumu sana watu wengi wenye imani haba huenda wasimuelewe huyu dada hapa, lakini me nimemuelewa saaaana, kumbukeni katika maongezi yake hajasema kama alienda AIRPORT au UBUNGO au BANDARINI akachukua usafiri ndio akaenda MBINGUNI, hapana kasema alilala akaota kwahiyo yeye kaeleza alichokiona kwenye ndoto yake na ameamini alichokiona kwenye ndoto yake.
Wangapi tunaendaga kwa WAGANGA na wanatuulizaga ukilalaga unaotaga ndoto gani tunahadithia na wanatuelewesha na kututafsiria na tunaondoka tukiwa tumeamini kabisa ndoto zetu kutokana na maelezo ya MGANGA.
Nina mengi sana ya kuwaelewesha kuhusu swala la IMANI na NDOTO tuziotazo, msimuhukumu wala msimjaji huyu dada wa watu vibaya, kasema kaenda mbinguni akiwa ndotoni naamini watu wengi wanaota wapo ndoto za aina hii wapo mbinguni wengine wanaotaga wapo siku za mwisho tunasubiri kwenda peponi au motoni lakini siyo kila anayeota anaweza kupata nafasi ya kuhadithia ndiyo maana kwa Zumaridi tunaona jambo la ajabu🙏”

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you