
Airtel Tanzania imekuwa kampuni ya kwanza nchini kuzindua huduma ya eSIM kwa wateja wake. Huduma hii inaruhusu wateja kusajili simu zao za mkononi kwa njia ya mtandao badala ya kutumia kadi za SIM. Kupitia huduma hii, wateja wa Airtel wanaweza kusajili zaidi ya simu moja kwenye akaunti moja. Hii inamaanisha kwamba wateja wanaweza kuwa na […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech