Habari

Harmonize “Nilitaka Kuoa Lakini Mama Mkwe Akaambiwa Mimi Muhuni na Kichaa

By

on

Enjoy Free Music, Audio, Video, Tanzania Music, Kenya, Uganda, Rwanda, Ghana, Nigeria here at Number One Music Platform in Tanzania

Harmonize "Nilitaka Kuoa Lakini Mama Mkwe Akaambiwa Mimi Muhuni na Kichaa

“Mtu ambaye unataka kumuozesha mtoto wako ni Muhuni sana alafu anakuwaga Chizi ikifikaga mwisho wa mwezi”, haya ni maneno ambayo alipewa mama mzazi wa mwanamke ambaye @harmonize_tz alikusudia kumuoa kipindi akiwa Kijijini kwao Chitoholi Mkoani Mtwara

.

Kupitia Podcast maalum inayoruka kupitia Mtandao wa #Boomplay Harmonize ameeleza mambo mengi yanayohusu maisha yake. Kati ya mambo ambayo ameeleza ni pamoja na hii stori ya kumkosa mwanamke wa ndoto zake kwasababu ya maneno ambayo mtu mmoja aliyapeleka kwa mama mzazi wa mwanamke aliyemtolea posa

About mzigotv

Nyimbo Mpya 2022, Mp3 Mp4 Mzigotv, Audio, Video Mpya, Tanzania Mp3, Tanzania trending songs, Nyimbo Mpya 2022, 2021, Download Audio Mzigotv, Alikiba Mp3, Video, Dj mwanga, nyimbo mpya za wiki hii dj mwanga, Rayvanny, Harmonize, Diamond Platnumz, Alikiba, Jux, Nandy, Zuchu, Lavalava, Mbosso, Bekaboy, Yingamedia, Diamond Platnumz Songs 2022


Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056

Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060

Recommended for you