Nyota wa Muziki kutoka Nigeria na Mshindi huyo wa Tuzo ya #GRAMMY ametajwa na UEFA kuwa atafungua Fainali za michuano hiyo zitakazofanyika Juni 10, 2023 huko Istanbul, Nchini Uturuki
Habari
Burna Boy Kufanya Show Kwenye Fainali za Ligi ya Mabingwa UEFA
on

Enjoy Free Music, Audio, Video, Tanzania Music, Kenya, Uganda, Rwanda, Ghana, Nigeria here at Number One Music Platform in Tanzania
Ligi ya Mabingwa kwa sasa ipo katika hatua ya Robo Fainali, huku timu 8 za AC Milan, Inter Milan, Napoli, #ManchesterCity, #Chelsea, Bayern Munich, Benfica, na Mabingwa Watetezi #RealMadrid zikipangwa kuwania nafasi ya kuitwa Bingwa wa Ulaya
Ni Msanii gani kutoka Tanzania unatamani afikie ‘level’ alizopo Burna Boy?
Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1056
Notice: Trying to get property of non-object in /home/tjsxvbmy/public_html/wp-content/themes/osage/functions.php on line 1060